Jumamosi October 5, 2013
14:45 Manchester City v Everton
17:00 Cardiff City v Newcastle United
17:00 Fulham v Stoke City
17:00 Hull City v Aston Villa
17:00 Liverpool v Crystal Palace
19:30 Sunderland v Manchester United
Jumapili October 6, 2013
15:30 Norwich City v Chelsea
15:30 Southampton v Swansea City
18:00 West Bromwich Albion v Arsenal
18:00 Tottenham Hotspur v West Ham United
14:45 Manchester City v Everton
17:00 Cardiff City v Newcastle United
17:00 Fulham v Stoke City
17:00 Hull City v Aston Villa
17:00 Liverpool v Crystal Palace
19:30 Sunderland v Manchester United
Jumapili October 6, 2013
15:30 Norwich City v Chelsea
15:30 Southampton v Swansea City
18:00 West Bromwich Albion v Arsenal
18:00 Tottenham Hotspur v West Ham United
Everton, ambao ndio timu pekee
haijafungwa kwenye Ligi Msimu huu, wanasafiri kwenda kukutana na Man
City ambayo Juzi ilibandikwa Bao 3-1.
Kipigo hicho kilifuata kile Wikiendi iliyopita walipochapwa 3-2 na Aston Villa kwenye Ligi.
Uwanjani Etihad, Everton wamefungwa na City Mechi moja tu kati ya 6 walizocheza mwisho.
Everton ya sasa, chini ya Meneja mpya Roberto Martinez, inamtumia Kijana mdogo Ross Barkley ambae ameonyesha uwezo mkubwa.
Wote wakifurahia hapa ...wakati wa mazoezi
Pellegrini aliwaongoza wachezaji wake kwenye mazoezi kujiweka fiti na mtanange wa Everton
Baadhi ya wachezaji wa Manchester City wakiwa kwenye mazoezi
Swali ni Je? Manuel Pellegrin kocha mpya wa Man City ataweza kuiongoza timu hiyo na kushinda kwa mtanange huo wa jumamosi utakao chezwa mapema saa nane na dakika 45
No comments:
Post a Comment