BUKOBA SPORTS

Thursday, October 3, 2013

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: JUVENTUS 2 v GALATASARAY 2, HAKUNA MBABE HAPA, JUVE WALAZIMISHA MABAO NA KUTOSHANA NGUVU KWA KUTOKA SARE!!

In the goals: Didier Drogba celebrates after scoring against Juventus
Didier Drogba akishangilia kwa aina yake hapa baada ya kuifunga bao Juventus
Lethal in the area: Drogba dribbles past Juventus goalkeeper Gianluigi Buffon and Juventus defender Andrea Barzagli to score
Wakiwa kwao Juventus Arena, Mabingwa wa Italy Juventus walijikuta wakati wa mapumziko wako nyuma kwa Bao la Didier Drogba la Dakika ya 36 lakini Kipindi cha Pili walisawazisha kwa Bao la Penati ya Arturo Vidal ya Dakika ya 78 na Fabio Quagliarella kuongeza Bao la Pili Dakika ya 87.
Galatasaray walisawazisha katika Dakika ya 88 kwa Bao la Umut Bulut na kuifanya Gemu imalizike 2-2.

Drogba akishangilia bao lake dakika ya 36 kipindi cha kwanza

Mashabiki wa Galatasaray wakishangilia baada ya Drogba kuwaua Juve usiku huu

Kocha Mpya Roberto Mancini akiiongoza Galatasaray na hatimaye kutoshana nguvu ya bao 2-2

Arturo Vidal akishangilia baada ya kufunga mkwaju wa penati kwa kumfunga kipa Fernando Muslera

Hakuna kufanya makosa hapa!! Vidal akipachika!!....

Fabio Quagliarella akishangilia usiku huu..

Dakika za lala salama Galatasaray wakishangilia

Mchezaji wa Juventus Carlos Tevez nae alikuwepo kumkaribisha kocha wake wa zamani Roberto Mancini

Paul Pogba akiachia acrobatic hapa!!!

Mchezaji wa Juve Mirko Vucinicakimtoka mchezaji wa Galatasaray Felipe Melo

Kazi na dawa: Mchezaji wa JuventusMirko Vucinic akiwekewa kizuizi wachezaji wa Galatasaray Bruma na Felipe Melo.
VIKOSI:
Juventus: Buffon, Barzagli, Bonucci (Llorente 68), Chiellini, Lichtsteiner (Isla 46), Pirlo,Asamoah, Vidal, Pogba, Tevez, Vucinic (Quagliarella 25).
Subs not used: Storari, Ogbonna, Marchisio, Peluso.
Goals: Vidal 78 pen, Quagliarella 87.
Galatasaray: Muslera, Eboue, Kaya (Zan 26), Chedjou, Riera (Amrabat 60), Felipe Melo, Inan,Balta, Sneijder (Bulut 74), Bruma, Drogba.
Subs not used: Ceylan, Burak Yilmaz, Baytar, Sarioglu.
Booked: Muslera, Zan.
Goals: Drogba 36, Bulut 88.
Attendance: 37,000
Referee: Viktor Kassai (Hungary)

No comments:

Post a Comment