BUKOBA SPORTS

Saturday, October 12, 2013

VODACOM PREMIER LEAGUE: KAGERA SUGAR 1 vs YANGA 2, NGASSA NA HAMIS KIIZA WAWANYAMAZISHA WAKATA MIWA KAGERA SUKARI!! YANGA SASA HIYOOO NAFASI YA PILI!!!


Asante Ngassa

Chukua tano kwanza ....Asante!!
Kikosi cha Kagaera Sugar kilichoanza

Kikosi cha Yanga

Waamuzi wa mtanange huu

Waamuzi na Timu Kapteni wakiteta jambo muda mfupi kabla ya mpira kuanza

Benchi la Yanga kushoto ni Kocha mkuu

Benchi la Kagera Sugar

Dakika ya 2 Mpira ukirushwa kama kona na Kipa kuupangulia kwa adui na Hatimaye Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngassa akafanikiwa kuipatia bao na hapa walikuwa wanashangilia bao hilo. Mpaka Mapunziko Yanga ilikuwa inaongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Wenyeji Kagera Sugar. Habari na www.bukobasports.com

Wachezaji wa Yanga wakishangilia Baada ya kupata bao kupitia kwa Mrisho Ngassa

Kama Kawaida Yanga wanapofunga kufurahia kwa aina hii si ajabu

Raha ya Ushindi..jamani..

Asante Ngassa

Chukua tano kwanza ....Asante!!

Patashika Uwanjani..
Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Kaitaba.
Kipindi cha pili dakika ya 49 Godfrey Wambura akaisawazishia bao timu yake na kufanya 1-1 na mtanange Kuchangamka sana kuliko kipindi cha kwanza..

Dakika ya 60 Hamis Kiiza akaiongezea bao Yanga na kufanya 2-1 Dhidi ya Wenyeji Kagera Sugar.Hakuna kwenda popote!!

Kocha wa Kagera Sugar Mayanja
Kagera Sugar wakishangilia  baada ya kusawazisha bao dakika ya 49.

Mchezaji wa Kagera akitafuta wenzake kuwapa mpira kipindi cha pili
Mashabiki wa Kagera Sugar
Ni kama walitaka sare au Waifunge Yanga!!
Mashabiki walijitokeza sana
KAZI NZURI: Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya kupata bao la pili na la ushindi

wachezaji wa Yanga wakimpongeza Mwenzao Kiiza baada ya kuwapatia bao la ushindi

Safi...ndugu yangu Yanga sasa tunapanda...
Nyomi ilisheeni
Kiiza akipongezwa na Mrisho Ngassa

Patashika kwenye goli la Yanga
Majanga hapa kipindi cha pili..
Kipa aliumia hapa wa Kagera

Kocha wa Kagera Bw. Mayanja akiojiwa na wahandishi wa Habari ambapo tuuma zote amezitupia kwa Mwamuzi aliyechezesha mtanange huo

Wadu na wapenzi wa Yanga wakifurahia ushindi huo
Kiongozi wa Yanga nae akiojiwa kuhusu mtanange huo

Tumeshinda na huu ushindi ni muhimu kwetu ...Tumepanda juu nafasi ya pili ...ila mtanange ulikuwa mgumu sana.

No comments:

Post a Comment