BUKOBA SPORTS

Friday, October 11, 2013

WORLD CUP 2014: ENGLAND 4 v MONTENEGRO 1, BELGIUM, SWITZERLAND, GERMANY HAOO BRAZIL, ENGLAND PAMOJA NA KUFUNGA NGOMA BADO MPAKA WAIFUNGE POLAND JUMANNE!!

 Rooney  na Welbeck wakipongezana baada ya kupata bao la kwanza.

Leighton Baines akimtoka mchezaji wa Montenegro
 Andros Townsend akikatiza kwa walinzi wa timu ya Monetengro
Mashabiki wa England wakishangilia na kuipa sapoti timu yao ili ishinde usiku huu na hatimaye kucheza kombe la Dunia Nchini Brazil 2014.
Wachezaji wa England wakipongezana baada ya Mchezaji wa Montenegro  Boskovic kujifunga bao

TIMU ZILIZOKWISHA ONA LANGO LA BRAZIL 2014:
  • Brazil, Argentina
  • Japan, Australia, Iran, South Korea
  • Netherlands, Italy, Belgium, Switzerland, Germany
  • Costa Rica, United States

No comments:

Post a Comment