
Steven Gerrard akishangilia bao lake dakika ya 88
Bao la pili limefungwa na Kapteni Steven Gerrard dakika za lala salama dakika ya 88 baada ya kuwachambua mtu tatu mpaka langoni nakutupia!!
Wayne Rooney akishangilia bao kwa an=ina yake baada ya kuifunga Poland kabla ya mapumziko

Wayne Rooney akiwachoma Poland kwa kichwa.

Chris Smalling na Jakub Blaszczykowski

Joe Hart akijiandaa dhidi Robert Lewandowski
Dakika ya 41 kipindi cha kwanza Leighton Baines ameachia pasi safi kama kona na hatimae Welbeck na Rooney wakaruka juu Rooney akafanikiwa kuupata mpira huo na kutupia kwa kichwa. Bao la pili limefungwa na Kapteni Steven Gerrard dakika za lala salama dakika ya 88 baada ya kuwachambua mtu tatu mpaka langoni nakutupia~!!
Meneja wa England Roy Hodgson akioneka kwenye nafasi yake kwenye uwanja wa Wembley usiku huu.

Mchezaji wa Poland Robert Lewandowski akichuana na Steven Gerrard

Kipa wa England Joe Hart kidogo afungwe na Robert Lewandowski shuti lake limepita nje kidogo!!

Danny Welbeck akikosa bao baada ya kusogezea pasi safi na Leighton Baines

Wachezaji wa England wakijiandaa na mtanange wao usiku huu

Mashabiki wa England kwenye uwanja wa Wembley usiku huu

Mashabiki wa Poland nao Wembley

Mashabiki wa Poland walivyooneka wakati wa wimbo wa taifa Wembley

Taswira usiku huu uwanjani Wembley
VIKOSI:
England: Hart, Smalling, Cahill, Jagielka, Baines, Carrick, Gerrard, Townsend, Rooney, Welbeck, Sturridge.
Subs: Ruddy, Jones, Gibbs, Wilshere, Lampard, Milner, Barkley, Defoe, Sterling, Lambert, Forster.
Poland: Szczesny,
Wojtkowiak, Jedrzejczyk, Glik, Celeban, Blaszczykowski, Mierzejewski,
Krychowiak, Sobota, Mariusz Lewandowski, Robert Lewandowski.
Subs: Boruc, Wasilewski, Jodlowiec, Polanski, Zielinski, Klich, Wawrzyniak, Peszko, Sobiech, Rzezniczak, Fabianski.
Referee: Damir Skomina (Slovenia)
No comments:
Post a Comment