BUKOBA SPORTS

Saturday, October 12, 2013

YALIOJILI USAILI WA TANZANIA NEXT HANDSOME MAN 2013





Usaili wa kumsaka kijana mtanashati ulifanyika jana katika ukumbi wa maraha club Bilicanas,ambapo models sita waliingia katika top ten na wengine wanne wakiendelea kusakwa ,fainali za mashindano haya yatafanyika club Bilcanas Nov 1 ,usikose kutizama Unique entertainment blog kwa habari zaidi.
IMEDHAMINIWA NA:REDBUL,BREEZER,CLUB BILCANAS,ROBY ONE FASHIONs,POP-UP COLLECTION NA UNIQUE ENTERTAINMENT BLOG.
 

No comments:

Post a Comment