


"Tutafunga sound mpya ya mtikisiko, tutajenga jukwaa kubwa bora tena la kisasa, tutafunga taa za kisasa pamoja na huduma nzuri kwa wateja watakaofika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, nia na madhumuni kuufanya usiku huo kuwa mkubwa, mzuri wenye mengi maajabu katika burudani" Alisema Ben.
Ameongeza kuwa bado milango iko wazi kwa makampuni mbalimbali na sekta binafsi kushiriki katika suala zima la udhamini. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0752813212.
Mbali na kuwa na masongi makali kama Bei kali, Kamila na kadhalika ambayo hadi sasa utamu wake uko pale pale Jose Chameleone kwa sasa anatikisa ulimwengu wa burudani ya muziki na ngoma zake kali kama Badilisha, Sumula, Valu valu, Tubonge na nyingine kibao...

Hivi ndivyo Jose Chameleone alivyokuwa amevaa ... ni kama ametoka kwenye Mwezi na kutua jukwaani ... It was amazing !!! usikukose siku hiyo njoo na mwenzio!! Kiingilio cha Concert hiyo kutajwa hivi karibuni na muda wa concert hiyo, tutawajuza punde!
No comments:
Post a Comment