BUKOBA SPORTS

Thursday, November 28, 2013

MAMISS WAANZA KUJINOA TAYARI KWA MISS TANZANIA USA PAGEANT JUMAMOSI NOV 30

Mamiss Tanzania USA Pageant wakimsikiliza Lady Kate mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Africa USA Pageant alipokuwa akiwaasa jinsi ya ushiriki wao kwenye Miss Tanzania USA Pageant itakayofanyika siku ya Jumamosi Novemba 30, 2013 Hollywood Ballroom iliyopo 2126 Industrial Pkwy, Silver Spring, MD 20904
Lady Kate, Pamela, Ma Winny na Asha katika picha ya pamoja na Mamiss Tanzania USA.

Lady Kate mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Africa USA Pageant akiwaasa Mamiss Tanzania USA Pageant leo Jumamtano Novemba kwenye hotel ya Marriott

Pamela Egbe Messy mratibu wa Miss Africa USA Pageant akiwaelimisha walimbwende

MaWinny Casey Mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania USA Pageant katika picha ya pamoja na mratibu wa Miss Tanzania USA Pageant, Asha Nyang'anyi (kulia)

Mamiss Tanzania USA Pageant wakimsikiliza Lady Kate mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Africa USA Pageant alipokuwa

Lady Kate, Pamela, Ma Winny na Asha katika picha ya pamoja na Mamiss Tanzania USA.







Sham Manka kutoka Massachusetts akijieleza.

Aeesha Kamala kutoka Maryland akijieleza.

Joy Kalemera kutoka New Jersey akijieleza.

Namala Elias kutoka Maryland akijieleza.

Alice Mhina kutoka Maryland akijieleza.

Hellena Nyerere kutoka Maryland akijieleza.

Faith Kaasha kutoka Alabama akijieleza.

Julia Nyerere kutoka Maryland akijieleza.

No comments:

Post a Comment