BUKOBA SPORTS

Wednesday, November 20, 2013

TIMU YA TAIFA YA ZIMBABWE YAWASILI KUIVAA STARS


Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Zimbabwe wakiwasili leokwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Taifa Stars utakaochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar ers Salaam. (Picha na Habari Mseto Blog)

Wachezaji wakiwasili.




Mkuu wa msafara wa timu ya taifa ya Zimbabwe ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Shirikisho la Soka la Zimbabwe (ZIFA), John Phiri akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili.

Meneja wa timu ya taifa ya Zimbabwe, Patrick Mutesva akiwa katika picha ya pamoja na mtangazaji wa Radio One, Omary Katanga (kushoto).

Nahodha wa timu ya taifa ya Zimbabwe, Simba Sithole akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mchezo huo..

Wachezaji wa Zimbabwe wakipanda basi la wachezaji.

No comments:

Post a Comment