Kipa wa Chelsea akifungwa bao la kizembe na mchezaji wa FC Basel Mohamed Salahn katika kipindi cha pili dakika ya lala salama dakika ya 87 baada ya kupewa ushirikiano na Fabian Schär.
Mchezaji wa Chelsea Gary Cahillakiruka kutwaa mpira dhidi ya mchezaji midfielder wa Basel Fabian Frei
Cesar Azpilicueta akikinga mpira mguuni mwake dhidi ya Mohamed Salah
Subs: Vailati, P Degen, D Degen, Delgado
Chelsea: Cech; Ivanovic, Cahill, Terry (c), Azpilicueta; Mikel, Lampard; Ramires, Oscar (Hazard 55), Willian (De Bruyne 86); Eto'o (Torres 42)
Subs: Schwarzer, Cole, Mata, Schurrle
Mohamed Salahn diye muuaji wa Blues!! na hapa alikuwa anashangilia bao lake
Eden Hazard akikatiza mbele ya mtu mbili kushoto ni Fabian Schaer
Willian na Kay Voserkwenye patashika kutafuta mpira!!
Mchezaji wa Chelsea Gary Cahillakiruka kutwaa mpira dhidi ya mchezaji midfielder wa Basel Fabian Frei
Cesar Azpilicueta akikinga mpira mguuni mwake dhidi ya Mohamed Salah
Samuel Eto'o chini ameondolewa uwanjani na miti!
Mchezaji wa Chelsea Branislav Ivanovic akigombea mpira na mchezaji wa Basel Valentin Stocker
Kocha wa Blues Jose Mourinho kama kawaida yake kupuuzia kiwango!!
VIKOSI:
Basle: Sommer; Voser, Schär, Ivanov, Xhaka (Ateti 71); Serey Die; Salah, Elneny, Frei, Stocker (Sauro 90); Streller (Sio 78)Subs: Vailati, P Degen, D Degen, Delgado
Chelsea: Cech; Ivanovic, Cahill, Terry (c), Azpilicueta; Mikel, Lampard; Ramires, Oscar (Hazard 55), Willian (De Bruyne 86); Eto'o (Torres 42)
Subs: Schwarzer, Cole, Mata, Schurrle
No comments:
Post a Comment