Sunday, December 22, 2013

HOTELI MPYA YA ROYAL FOUNTAIN YAFUNGULIWA BUNAZI-BUKOBA

Ni Hotel ya kisasa ipo katika hali nzuri na imejengwa hivi karibuni ipo Bukoba Misenyi Bunazi

Taswira yake
Ni Royal Fountain Hoteli

Bw. Frank Muganyizi (kushoto) ambaye ndie mmiliki wa hoteli hiyo akifurahia jambo siku ya ufunguzi wa Hoteli hiyo kutoka kwa Kiongozi wa Dini.

Ina bustani nzuri kwa nje
Wananchi walikuwa wamejitokeza kwa wingi siku ya leo ya ufunguzi wake

Bw. Frank Muganyizi akiwa maeneo ya Hoteli hii mpya ya Royal fountain
Ukiwa unaenda Uganda utakutana nayo upande wa kulia Bunazi kwani ipo karibu sana na barabara hiyo iendayo Uganda.



Kwa ndani

Ufunguzi huo wa Hoteli ulitangulia na Ibada na hapa ni viongozi wa Dini wakienda eneo maalum tayari kuanza ibada hiyo
Familia ya Mzee Frank kwa makini ikisikiliza neno kutoka kwa kiongfozi wa Dini kwenye Ibada hiyo

Mama nae alikuwa tayari kusikiliza neno
Mzee Frank Muganyizi akifuatilia Ibada maalum






Wote mnakaribishwa...Royal Fountain Hoteli...

No comments:

Post a Comment