BUKOBA SPORTS

Sunday, June 8, 2014

ISABELLA WARIOBA ALIVYOMEEMETA KATIKA USIKU WAKE MAALUM


Hakika ulikuwa ni Usiku Maalum kwaajili ya Isabella Moses Warioba, ambaye alikuwa na tafrija ya kuagana na familia yake ya Prof na Dr. MD Warioba, Ndugu, Jamaa na marafiki wote tayari kwa yeye kwenda kufunga Ndoa na mtu aliyependezwa nae na kuamua kuambatana nae na hatimaye Mbele za Mungu wakawe mwili mmoja. Production by: MD Digital Company +255 755 373999/ +255 717002303.

Bi Harusi mtarajiwa Isabella Warioba akiwa mwenye tabasamu kali wakati akiingia katika Ukumbi wa Kisasa wa Hoteli ya Nashera mkoani Morogo, Juni 7, 2014. Nyuma yake ni Msimamizi mmoja wapo wa shughuli hiyo, Sheila Kikula.

Wapambe wakiingia ukumbini kwa miondoko mwanana


Bi Harusi mtarajiwa, Isabella akijiachia kwa kucheza na kuamsha hoi hoi nderemo na vifijo ukumbini wakati akiingia.

Kwa Staili ya aina yake Bwana harusi mtarajiwa alifuatwa na makaka wa Bi harusi na kumleta mbele.

Bi Harusi akifurahi na kuagana na kaka zake baada ya kukamilisha jukumu la kuhakikisha shemeji yao anafika mbele alipo bila kubugudhiwa na yeyete.Kweli Peter alifika na kula pozi kwa amani,

Prof. MD Warioba na Mkewe Dk. Leticia Warioba ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Iringa mjini wakifuarahia vijana wao walivyo pendeza.

Prof.Joseph Kuzirwa ambaye ndiye alishika mikoba ya Prof. Warioba kukiongoza Chuo Kikuu Mzumbe akiwa ukumbini hapo na mkewe.

Maharusi watarajiwa, Peter na Isabella wakinyoosha glasi zao juu kabla ya kutakiana kila la heri.

Kata keki tule..


Ndugu wa Isabella
Burudani kidogo...
wakwe upoande wa Bwana harusi..


Wageni waalikwa

Baadhi ya vijana kutoka kundi la 'Home Sweet home' Kizmumbe Mzumbe' wakilamba picha.

Waalikwa wakipata chakula..



Menejmenti ya TSN ikienda kutoa mkono wa pongezi.

Prof. Kuzirwa akimpongez Bi harusi mtarajiwa...

Wanasheria wenzake an bi harusi.

Biharusi na wapambe..

Prof. Warioba ni Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Pichani ni Menejiment ya TSN iliyohudhuria tafrija hiyo wakiongozwa na Mhariri Mtendaji, Gabriel Nderumaki (wapili kushoto)
Kamati ya maandalizi ya Tafrija ya Send Off wakiwa katika picha ya pamoja,
Familia ya Prof. na Dk Warioba katika picha ya pamoja.




No comments:

Post a Comment