Sunday, December 22, 2013

MANCHESTER UNITED v 3 WEST HAM 1, ADNAN JANUZAJ, DANNY WELBECK NA ASHLEY YOUNG WATAMBA LEO!

MANCHESTER UNITED 3 v WEST HAM 1
Bao la Danny Welbeck, likiwa Bao lake la kwanza Old Trafford kwa Miezi 14, Adnan Januzaj na Ashley Young zimewapa Manchester United ushindi wao wa 4 mfululizo na kuiacha West Ham ikiwa Pointi 1 tu juu ya Timu 3 za mkiani.

Carlton Cole ndie aliefunga Bao pekee la West Ham baada ya kuuvunja mtego wa kuotea wa Mabeki wa Man United.
Ravel Morrison akikwaana na RooneyGeorge McCartney na Antonio wa United wakipambanaDavid Moyes akiwacheki vijana wakeWayne Rooney akiachia frii kikiDanny Welbeck akifunga bao la kwanza
Looking to the fans: Welbeck celebrates his opening goal against West Ham
Welbeck cakishangilia bao lake dhidi ya West HamNo holding back: Januzaj clashes with West Ham's Mark Noble (left) as James Collins looks on
Januzaj akiwafunga West Ham mbele ya wachezaji wake Mark Noble na James Collins
Catch me if you can: Januzaj dribbles with the ball as he is closely followed by West Ham players
Januzaj akikatiza na kuchanga mbuga kuzunguka msitu wa West HamFeeling festive: Manchester United fans dressed up as Santa watch their team beat West Ham
Mambo ya Christmass haya!!! mashabiki wa Manchester United walivyovalia kimtindo katika sikukuu hizi
Word in the ear: Manchester United manager David Moyes speaks to Wayne Rooney during the match
Meneja wa Manchester United David Moyes akimpa mbinu Wayne Rooney
Not happy: West Ham manager Sam Allardyce looks back towards the Old Trafford pitch as he walks off
Raha Hakuna!!!! Meneja wa West Ham Sam Allardyce akikicheki kipigo Old Traffordmwishoni mwa mtanange
VIKOSI:
MANCHESTER UNITED: De Gea 7, Rafael 8, Evra 6 (Buttner 80), Cleverley 7, Smalling 6, Evans 7, Antonio Valencia 7, Jones 7, Welbeck 8 (Hernandez 54), Rooney 7, Januzaj 8 (Young 69)
Subs not used: Giggs, Fletcher, Kagawa, Johnstone
Goals: Welbeck 26, Januzaj 36, Young 72
Booked: Januzaj
WEST HAM: Adrian 5, Demel 6, McCartney 5, Taylor 5 (Collison 62), Collins 5 (Rat 75), Tomkins 6, Diame 5, Noble 5, Maiga 6, Morrison 6, Jarvis 5 (Carlton Cole 71)
Subs not used: O'Brien, Diarra, Jaaskelainen, Joe Cole
Goal: Cole 81
Booked: Morrison, McCartney, Tomkins, Jarvis
Man of the Match: Rafael da Silva
Referee: Michael Jones 8

No comments:

Post a Comment