FULHAM 2 v MANCHESTER CITY 4
Manchester City wamepanda hadi Nafasi ya Pili katika Msimamo wa Ligi baada ya kuichapa Fulham Bao 4-2 huko Craven Cottage.
Yaya Toure ndie aliefunga Bao la kwanza na Vincent Kompany kufunga Bao la pili lakini Fulham wakapata Bao moja Mfungaji akiwa Kieran Richardson na Vincent Kompany kujifunga mwenyewe na Gemu kuwa 2-2.
Yaya Toure akishangilia bao lake baada ya kuifungia Manchester City
Majanga...
Kieran Richardsonakishangilia..
Navas akiwajibika....
Subs not used: Ruiz, Kacaniklic, Stockdale, Duff.
Goals: Richardson 50, Kompany (og) 69.
Booked: Karagounis.
Man City: Hart 6; Clichy
6, Kompany 6, Demichelis 6, Kolarov 6; Nasri 7 (Milner 75), Fernandinho
7, Toure 8, Silva 7 (Garcia 84); Dzeko 6 (Navas 58, 7), Negredo 7.
Subs not used: Javi Garcia, Rodwell, Pantilimon, Boyata, Guidetti.
Goals: Toure 23, Kompany 43, Navas 78, Milner 83.
Booked: Demichelis.
Referee: Kevin Friend.
Manchester City wamepanda hadi Nafasi ya Pili katika Msimamo wa Ligi baada ya kuichapa Fulham Bao 4-2 huko Craven Cottage.
Yaya Toure ndie aliefunga Bao la kwanza na Vincent Kompany kufunga Bao la pili lakini Fulham wakapata Bao moja Mfungaji akiwa Kieran Richardson na Vincent Kompany kujifunga mwenyewe na Gemu kuwa 2-2.
Yaya Toure akishangilia bao lake baada ya kuifungia Manchester City
Jesus Navas akaipatia Man City Bao la 3 baada kuunganisha krosi ya David Silva na James Milner kufunga Bao la 4.
Kompany akifanya 2-0 Kieran Richardsonakishangilia..
Kompany akijilaumu baada ya kujifunga
Navas akiwajibika....
VIKOSI:
Fulham: Stekelenburg 5; Riether
6, Senderos 5 (Amorebieta 37, 5), Hughes 6, Riise 6; Karagounis 7 (Bent
82), Parker 7, Sidwell 6; Richardson 6, Dejagah 7 (Kasami 65); Taarabt
6.Subs not used: Ruiz, Kacaniklic, Stockdale, Duff.
Goals: Richardson 50, Kompany (og) 69.
Booked: Karagounis.
Subs not used: Javi Garcia, Rodwell, Pantilimon, Boyata, Guidetti.
Goals: Toure 23, Kompany 43, Navas 78, Milner 83.
Booked: Demichelis.
Referee: Kevin Friend.
No comments:
Post a Comment