Saturday, December 21, 2013

UPENDO NKONE ATUA BUKOBA LEO HII JIONI, TAYARI KUWASHA MOTO KWENYE UZINDUZI WA KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KESHO JUMAPILI TAREHE 22.12.2013

Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Upendo Nkone akiwa uwanja wa ndege Mjini Bukoba muda mfupi baada ya kushuka ndege akitokea Jijini Dar es salaam, ambapo kesho jumapili anatarajia kutoa burudani kwenye Tamasha la uzinduzi wa Album ya waimbaji wa Hapa Mjini Bukoba Kapotive Star Singers.
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Upendo Nkone akifurahia kwa tabasamu la aina yake baada ya kuwaona wenyeji wake
Karibu Bukoba...
Karibu sana Bukoba...Mzee Audax akisalimiana na dada Upendo Nkone

Karibu..
Msanii wa Maigizo Bukoba Bw.Teso Boy (kulia) kwenye kwenye picha ya pamoja na Wasanii wa Kapotive na Upendo Nkone leo kwenye Uwanja wa Ndege.
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Upendo Nkone
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Upendo Nkone wa pili kutoka (kushoto) akihojiwa mara baada ya kufika Bukoba kwa mara ya tatu sasa.
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Upendo Nkone akipata maelekezo kutoka kwa Wenyeji wake
Picha zilipigwa
Na mimi Kulia nilipata nafasi ya Ukodak
Ni Ukodak jamani...pamoja na kumkaribisha dada Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Upendo Nkone

Pamoja sana Teso Boy.....Kesho usikose kwenye uzinduzi kuanzia saa 8:00 mchana mpaka saa 2:00 usiku.

No comments:

Post a Comment