BUKOBA SPORTS

Monday, December 2, 2013

JAHAZI MODERN TAARAB WALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAO DAR LIVE JIJINI DAR ES SALAAM CHINI YA UDHAMINI WA VODACOM.

Mkuu wa kundi la Jahazi Modern Taarabu Mzee Yusuph,akikonga nyoyo za mashabi wake Tamasha la Taarabu lililofanyika katika Ukumbi wa Dar Live na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania,mwishoni mwa wiki.
Wapiga kinandana na gitaa mashuhuru wa kundi la Jahazi Modern Taarabu,kutoka kusho Father Mauji na Miraji Sultan,wakiburudisha mashabiki wao vilivyo katika Tamasha la Taarabu lililofanyika katika Ukumbi wa Dar Live,Chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania,mwishoni mwa wiki.
Mwanamziki wa kundi la Jahazi Modern Taarabu,Khadija Yusuph akiwaburudisha mashabiki wake katika Tamasha la Taarabu lililofanyika kwenye ukumbi wa Dar live Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment