BUKOBA SPORTS

Wednesday, December 4, 2013

KOCHA WA SIMBA AANZA KIBARUA, YEW BERKO NDANI YA KIKOSI CHA SIMBA.


Kocha Simba, Zdravko Logarusic akiwasili kwenye mazoezi ya timu hiyo katika Uwanja wa Kinesi jijini Dar es Salaam. Kocha huyo amesaini mkataba wa miezi sita kuchukua nafasi ya Abdallah Kibadeni. Habari kwa hisani ya http://francisdande.blogspot.com/

Zdravko Logarusic akiingia uwanjani kuanza kazi yake.


Akiwasalimia mashabiki wa Simba.

Akisalimiana na viongozi wa Simba.


Wachezaji wa Simba wakijitambulisha kwa kocha wa timu hiyo kabla ya kuanza mazoezi.

Zoezi la kujitambulisha kwa kocha likiendelea.

Wachezaji wa Simba wakimsikiliza kocha mpya wa hiyo, Zdravko Logarusic wakati wa mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Kinesi jijini Dar es Salaam.

Maelekezo ya kocha.

Kusikiliza maelekezo.

Wachezaji wakianza mazoezi.

Aliyekuwa kipa wa timu ya Yanga, Yew Berko (kushoto) akijifua na wenzake wakati wa mazoezi ya Simba.

Aliyekuwa kipa wa timu ya Yanga, Yew Berko (kushoto) akijifua na wenzake wakati ea mazoezi ya Simba.

No comments:

Post a Comment