Katika Droo hiyo, Mabingwa Watetezi, Bayern Munich na Washindi wa Pili, Borussia Dortmund, wamo pamoja na wenzao wengine wawili wa Germany, Bayer Leverkusen na FC Schalke.
Ligi Kuu England inazo Timu 4 ambazo ni Mabingwa wake Manchester United, Man City, Chelsea na Arsenal.
Luis Figo akionesha juu karatasi inayowaonesha Barcelona leo kwenye droo ya 16 ambapo Barca wamepangiwa kukutana na Man City.
UEFA general secretary Gianni Infantino leo huko Nyon kwenye Droo ya hatua ya 16
Manchester City v Barcelona
Olympiacos v Manchester United
AC Milan v Atletico Madrid
Bayer Leverkusen v Paris Saint-Germain
Galatasaray v Chelsea
Schalke v Real Madrid
Zenit v Borussia Dortmund
Arsenal v Bayern Munich
-MECHI ZA KWANZA: 18–19 & 25–26 Februari 2014
-MARUDIANO: 11–12 & 18–19 Machi 2014
ROBO FAINALI
-DROO: 21 Machi 2014
-MECHI ZA KWANZA: 1–2 Aprili 2014 \
-MARUDIANO: 8–9 Aprili 2014
NUSU FAINALI
-DROO: 11 Aprili 2014
-MECHI ZA KWANZA: 22–23 Aprili 2014
-MARUDIANO: 29–30 Aprili 2014
FAINALI
4 Mei 2014 Estádio da Luz, Lisbon, Portugal
No comments:
Post a Comment