BUKOBA SPORTS

Sunday, December 8, 2013

LIVE MATCH: ARSENAL 1 v EVERTON 1, GUNNERS YABANWA MBAVU LEO, YASIMAMA KILELENI IKIWA KWAO EMIRATES!! THEO WALCOTT, OZIL NA GIROUD WAKIONESHA KIWANGO!

Ozil anaipatia bao Arsenal katika dakika ya 80 baada ya kupata pasi kutoka kwa Theo Walcott.
Dakika ya 84 Everton wanasawazisha bao kupitia mchezaji wao  Gerard Deulofeu aliyetokea benchi. Sare hii inawapandisha alama moja Arsenal kwa kupata pointi 35 na kubaki pale pale wakiongoza Ligi kwa kukaa kileleni. Everton wao nao wamegawana alama moja moja pia hivyo nao wamepata alama 28 wakibaki pale pale nao kwenye nafasi ya tano.
Kipa wa Everton akifungwa bao na Mesut Ozil hapa.
Joyous: Ozil's 80th minute goal looked to have given Arsenal all three points
Ozil akishangilia kiutamu bao lake ambako muda mfupi baadae Everton wamelichomoa na mpira kuisha 1-1 kwenye uwanja wa Gunners Emirates leo usiku.
Kipa wa Everton Tim Howard akiokoa pande la mchezaji wa  Arsenal Santi Cazorla Kipa Tim Howard wa Everton tena akiokoa shuti la  Aaron Ramsey hapa! Mapema timu zote mbili  Arsenal na Everton walichukua muda kwa kumwombea Nelson Mandela, ambaye anaonekana kwenye Screen kubwa uwanjani hapo Emirates aliyefariki hivi karibuni baada ya kuugua kwa muda mrefu.
VIKOSI:
Arsenal: Arsenal: Szczesny 7; Jenkinson 6, Mertesacker 7, Koscielny 7, Gibbs 6; Arteta 6, Ramsey 6 (Flamini 68 min, 7); Wilshere 5 (Rosicky 68, 6), Ozil 6, Cazorla 6 (Walcott 68, 7); Giroud 7.
Subs not used: Fabianski, Vermaelen, Monreal, Bendtner.
Manager: Arsene Wenger 7.
Goal: Ozil 80.
Everton: Howard 7; Coleman 6, Jagielka 7, Distin 7, Oviedo 7; McCarthy 6, Barry 7; Pienaar 7 (Osman 70, 7), Barkley 8 (Naismith 90), Mirallas 6 (Deulofeu 79); Lukaku 5.
Subs not used: Robles, Heitinga, Jelavic, Stones.
Manager: Roberto Martinez 7.
Goal: Deulofeu 84
Bookings: Barry, McCarthy, Howard, Deulofeu.
Ref: Mike Dean
Att: 60,001

No comments:

Post a Comment