Alex Oxlade-Chamberlain na Lukas Podolski wameipatia ushindi timu yao ya Arsenal. Bao za Arsenal zimepatikana kipindi cha kwanza na cha pili. Kipindi cha pili hicho hicho dakika ya 59 Suarez akaangushwa ndani ya eneo hatari (box) na dakika ya 60 kapteni steven Gerard akafunga bao kwa mkwaju wa penati na kufanya 2-1.
Muda mfupi ulitengwa kumkumbuka Sir Tom Finney aliyefariki hivi karibuni..kabla ya mtanange!

Mchezaji matata Daniel Sturridge akikatiza katikati ya wachezaji wa Arsenal

Raheem Sterling(kulia) akiendesha...........

Luis Suarez na Laurent Koscielny kwenye patashika....

Mwamuzi..Howard Webb akimwonesha kadi ya njano Mathieu Flamini wa Arsenal

Nacho Monreal akitupwa chini na Jon Flanagan wa Liverpool.

Steven Gerrard na Per Mertesacker kwenye patashika kuugombania mpira!

Oxlade-Chamberlain akitingisha nyavu nakufanya 1-0...

Wakipongezana baada ya bao hilo

Podolski akishangilia na yeye baada ya kufunga bao la pili kipindi cha pili dakika ya 60

Kapteini Steven Gerrard akifunga mkwaju wa penati na kufanya 2-1

Ndani ya 18 wakichuana!

Suarez chini akijiuguza baada ya kufanyiwa ndivyo sivyo!
VIKOSI:
Arsenal (4-2-3-1): Fabianski
7, Jenkinson 6, Mertesacker 6, Koscielny 7, Monreal 5, Flamini 7,
Arteta 7, Oxlade-Chamberlain 8 (Gibbs 76), Ozil 7, Podolski 6 (Cazorla
69, 5), Sanogo 6 (Giroud 88).
Subs not used: Sagna, Wilshere, Viviano, Gnabry.
Booked: Monreal, Flamini.
Goals: Oxlade-Chamberlain 16, Podolski 47
Manager: Arsene Wenger 7
Liverpool: Jones, Flanagan, Agger, Skrtel, Cissokho (Henderson 62), Coutinho, Gerrard, Allen, Sterling, Suarez, Sturridge.
Subs not used: Toure, Aspas, Moses, Mignolet, Kelly, Teixeira.
Booked: Flanagan, Coutinho, Gerrard.
Goals: Gerrard (pen) 59.
Manager: Brendan Rodgers
Man of the Match: Alex Oxlade-Chamberlain
Ref: Howard Webb
No comments:
Post a Comment