Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Dayna Nyange akifanya mambo yake jukwaani usiku huu.
Nivute kwako!!! ni wimbo wake msanii Dayna akiuimba vyema Jukwaani leo kwenye Ukumbi wa JB Belmonte Hotel katika jiji la Rocky City (Mwanza) leo Valentine Day.
Dada Carol (kulia) akicheza pamoja na rafiki yake kumsindikiza msanii Dayna leo kwenye siku ya wapendano!
Dayna akitoa tabasamu hapa!!! Mpaka Shabikia akamfata juu ya jukwaa!
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Dayna Nyange akicheza na Shabiki wake.
Cindy Sanyu kutoka Nchini Uganda...akaingia kwa stage!! ukumbi ukawaka moto!!!
Cindy Sanyu kutoka Nchini Uganda(katikati) akicheza kwa pamoja na wanamuziki wake kuwapa kile Wabongo walichomwitia katika ukumbi huu wa JB Belmonte Hotel.
Majanga!! kazi ikakatika!
Hakika katushika Cindy!!!
No comments:
Post a Comment