Chelsea wanapata bao kipindi cha kwanza baada ya kufanya mashambulizi makali, Bao la Ivanovic la dakika ya 32 kipindi cha kwanza na wanatangulia kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Manchester
City.
Kipindi cha pili Chelsea pia waliendeleza mashambulizi makali kwa timu ya Chelsea na wao Chelsea wamezinduka na kufanya mashambulizi lakini hawakuweza kuifunga timu ya Chelsea. Ngome ya Chelsea ilikuwa ngumu sana leo huku City wakionekana muda mwingi kuchoka.Matokeo hayo yanakuwa faraja zaidi kwa Arsenal ambayo
sasa inatuliza roho kileleni mwa Ligi Kuu kwa pointi zake 55, baada ya
timu zote hizo kucheza mechi 24.
Mapema Jose Mourinho akiutazama mpira kipindi cha kwanza..

David Silva chupu chupu aifunge Blues...

Yaya Toure akiendesha...

Ivanovic akituma!!!

Branislav Ivanovic akiachia shuti kali na kumfunga kipa wa City Hart kwenye uwanja wao Etihad Stadium

Ivanovic akishangilia bao lake

Hakunaga!! 1-0

Ivanovic akishangilia bao lake kipindi cha kwanza

Wachezaji wa Blues wakimpongeza mwenzao Ivanovic baada ya kuwapachikia bao.

1-0

Jose Mourinho ...mambo safi baada ya Ivanovic kupata bao katika dakika ya 32 kipindi cha kwanza.

Kocha Jose Mourinho na makeke yake!!

City Hoi!!!

Sergio Aguero ameutazama mpira huu akiwa nje

Petr Cech na Gary Cahill wakiondosha mpira mbele ya Alvaro Negredo kwenye eneo hatari

Silva kwenye patashika!!

Edin Hazard akikatisha katikati

David Luiz na Silva wakioneshana kazi..

John Terry akichuana na Edin Dzeko

Edin Dzeko kwenye patashika!!

Etihad Stadium...kimenuka!!!
VIKOSI:
Man City: Hart 6, Zabaleta 6, Kompany 5, Nastasic 5, Kolarov 6, Jesus Navas 6, Demichelis 6, Toure 7, Silva 6, Dzeko 5, Negredo 6 (Jovetic 57)
Subs not used: Milner, Rodwell, Clichy, Pantilimon, Boyata, Lopes.
Booked: Demichelis, Kolarov, Nastasic.
Chelsea: Cech 6, Ivanovic 7, Cahill 7, Terry 7, Azpilicueta 6, Matic 7,Luiz 7, Ramires 5, Willian 6 (Mikel 90), Hazard 8 (Ba 90), Eto'o 6 (Oscar 83)
Subs not used: Cole, Lampard, Salah, Schwarzer
Booked: Ivanovic, Matic, Willian
Goals: Ivanovic 32.
Attendance: 47,364
Man of the match: Eden Hazard
Referee: Mike Dean 7
Managers:
Manuel Pellegrini 5
Jose Mourinho 7

Taswira ya uwanja Etihad usiku huu.

Wachezaji wa Chelsea wakiwa kwenye mji wa Manchester City mchana wa leo

Kocha Jose Mourinho kuondoka na pointi tatu muhimu usiku huu au la!!
No comments:
Post a Comment