BUKOBA SPORTS

Sunday, February 16, 2014

FA CUP: FULL TIME- ARSENAL 2 v LIVERPOOL 1, ARSENAL WAONDOA UTEJA KWA MAJOGOO LIVERPOOL, WASONGA HATUA YA ROBO FAINALI KUKUTANA EVERTON!!


Oxlade-Chamberlain akifunga bao katika kipindi cha kwanza baada ya kutokea frii kiki na wachezaji kucheza vyema ndani ya box huku Arteta akishinikiza bao hilo. Lukas Podolski and Yaya Sanogo celeb Kipindi cha pili Podolski akawaongezea Gunners bao nakufanya 2-0. Kipindi cha pili hicho hicho dakika ya 59 Suarez akaangushwa ndani ya eneo hatari (box) na dakika ya 60 kapteni steven Gerard akafunga bao kwa mkwaju wa penati na kufanya 2-1.Steven Gerrard penalty Liverpool vs Arsenal Steven Gerrard akifunga bao kwa mkwaju wa penati..
MAPEMA WAKIINGIA KWENYE UWANJA WA EMIRATES...

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiingia kwenye uwanja wa Emirates
View image on Twitter
Wote wanaanza kipindi cha kwanza...
-ARSENAL imefanya mabadiliko (saba) 7 kwenye kikosi chake...Huku Liverpool wakifanya mabadiliko matatu tu.. 
VIKOSI:
Arsenal starting XI
Fabianski, Jenkinson, Koscielny, Mertesacker, Monreal, Flamini, Arteta, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Podolski, Sanogo.

Jack Wilshere
Liverpool starting XI
Jones, Flanagan, Skrtel, Agger, Cissokho, Gerrard, Allen, Coutinho, Sterling, Sturridge, Suarez.


Raundi ya Tano 
RATIBA/MATOKEO

Jumapili Februari 16  
Everton 3 v Swansea 1 
Sheff Utd 3 v Nottm Forest 1
Arsenal 2 v Liverpool 1
Jumatatu Februari 17 
22:45 Brighton v Hull

No comments:

Post a Comment