Bao mbili kutoka kwa Stevan Jovetic na Samir Nasri zimetosha kuipatia ushindi wa bao 2-0 Manchester City dhidi ya timu ya Blues anayoifundisha Jose Mourinho "Chelsea" kwenye uwanja wa Etihad Stadium.
Stevan Jovetic akishangilia bao lake

Wachezaji wa Man City wakipongezana baada ya Jovetic kuwapatia bao

Jovetic akimfunga kipa Petr Cech

Kipa wa Chelsea Petr Cech hoi baada ya kufungwa bao!!!

Edin Dzeko na David Luiz wakiugombania mpira!
Vincent Kompany na Samuel Eto'o kwenye patashika!!

David Silva akibanwa na John Obi Mikel

Kupoteza kubaya!

Edin Dzeko na David Luiz kwenye majanga!!

Samir Nasri akishangilia bao lake

No comments:
Post a Comment