BUKOBA SPORTS

Monday, February 17, 2014

KASIBANTE FM RADIO 88.5 BUKOBA WASHEREHEKEA SIKU YA WAPENDANAO (VALENTINE DAY) NA WATOTO YATIMA LEO IJUMAA.

KITUO cha Redio Kasibante fm Bukoba leo Ijumaa kimesherehekea siku ya wapendanao (Valentine day) na Watoto Yatima wa hapa Bukoba kutoka katika vituo mbalimbali vyakulelea watoto wasio jiweza  hapa Bukoba. Katika Tafrija hiyo Viongozi mbalimbali walijumuika katika kituo hicho ambapo Watoto wasiojiweza wakiwemo Yatima wamepata zawadi mbalimbali ikiwemo Mavazi, Chakula nk. Chakula cha mchana pia kiliandaliwa.
Taswira
Ngoma ya Kihaya ilikuwepo kutumbuiza!!

Mh. Khamis Kagasheki(katikati) nae alikuwepo

Viongozi mbalimbali walikuwepo


Sehemu ya watoto Yatima
Muda wa Chakula ulifika...














Tafa wa Saidi akifanya mahojiano na mmoja watoto mlemavu wa macho

Picha za pamoja na wafanyakazi wa Kasibante fm zilipigwa






No comments:

Post a Comment