BUKOBA SPORTS

Monday, February 17, 2014

VALENTINE DAY ILIVYONOGA KATIKA UKUMBI WA LINA'S BUKOBA, ZAWADI NONO ZIKINYAKULIWA NA WALIOPENDEZA....HAKIKA ILIKUWA VALENTINE DAY SPECIAL BUKOBA!!!!

Mr. Bube akifanya yake jukwaani!
Mbwembwe za Valentine day...inatokea mara moja kwa mwaka..!
Live bila chenga!!

Mr. Bube (Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi) aakitoa neno kuhusu siku ya Valentine Day kwenye ukumbi wa Lina's Bukoba.
Mke wa Deo akimkaribisha Mh.Kagasheki
Zawadi ilitolewa!!.
Nini mnataka!!

Mr. Jamco na Mkewe Bi. Jamira wakitokelezea kwenye usiku wa Valentine Day..

Mr. Deo na Mh. Kagasheki wakipeana neno!
Anitha Mtensa (kushoto) na Mama Lina's (kulia) wakiucheki kwa makini usiku wa Valentine day
Sehemu ya Familia ya Bw. Deo
kulia ni Bw. Subira Kabyemela akipata msosi
Dada wakipata msosi
Mh.Kagasheki akiteta jambo na mama
Karibu kinywaji!!





Taswira
Keki tayari kwa kuliwa!
Keki ya Valentine DayKeki ya Valentine Day mezani!!
Anitha na Maua wakisakata mziki laini..
Muziki lainiiiiiiiii na mtamu wa enzi zile!!
Hakuna aliyebaki nyuma wote walifanya kile kilichotakiwa kufanywa!
Staili iliyokuwa hapa ni balaa!!!
Muziki wa aina yake ulipigwa siku hiyo! watu wakaucheza vilivyo kwa staili za kipekee sana! Chezea Bukoba wewe..
Rangi nyekundu ndio ilikuwa alama maalum siku hiyo!
Patashika kwenye usiku wa wapendanao! full kufunguka kucheza muziki
Mr. Subira na Mrs wake wakibanjuka ki-Valentine ndani ya Ukumbi wa Lina's


Chezea Dada Maua wewe!! Hapa akiwa na Mr. Bube (Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi)

Washindi wakikabidhiwa zawadi yao(Mr. George na Mrs. wake)
Hakika Mr.& Mrs. George walistahili zawadi!! kwani walilipuka vilivyo!!!

Dada Nancy alipata zawadi kwa kuvaa Vazi la ukweli
Asante!!!
Siku hivi kuvaa na kupendeza dili mjini..Ni Bw. Denis na Bi. Vick wakipata zawadi nao kwa kutokelezea!!
Mzungu nae alijinyakulia zawadi.
Pokea zawadi maalum kwa siku ya leo Valentine Day dada!!!

....sisi ni wapendanao naomba mlijue hilo!

Zawadi ilitolewa!!.

Mr. Bube na Maua..wakifurahia jambo!

Dada wakiwa wamepigilia uzi mwekundu kuashilia Valentine day kama siku inavyosema!! na hapa wakifunguka kwa muziki safi!

Dada Maua akifunguka!!

Tumependeza jamani!!???
Picha za pamoja kwa Kamati ya Maandalizi zilichukua nafasi...
Mr. Mtensa nae hakuwa nyuma..alikuwa mstari wa mbele!! Jamco ndio kabisaaaaaa mwangalie (kulia) akiwa ameulamba Kivalentine day....
Bube jamani unawaua...jamani,........mhhhhh.....
Taswira ya Picha ya wanakati
Pongezi kwenu kamati yenu ilikuwa balaa!!

No comments:

Post a Comment