Wakicheza Uwanja wa Saint Mary, Liverpool wameichapa Southampton Bao 3-0 na kukwea hadi Nafasi ya Pili kutoka Nafasi ya 4 kwenye Ligi Kuu England.
Bao za Liverpool zilifungwa na Luis Suarez, Dakika ya 16, Raheem Sterling Dakika ya 58 na Penati ya Dakika za Majeruhi ya Steven Gerrard baada ya Suarez kuangushwa na Jose Fonte.Kocha Brendan Rodgers akifurahia kichapo hicho baada ya timu yake kushinda
Wachezaji wa Southampton wakipagawa baada ya kupoteza mchezo huu kwaoHatari kwenye lango la Southampton....Raheem Sterling Dakika ya 58 hakuchelewesha vitu!!Akipongezwa!Dakika za Majeruhi ya Steven Gerrard baada ya Suarez kuangushwa na Jose Fonte akawafungia bao kwa mkwaju wa penati...Asante baba...Gerrard akipongezana na Luis Suarez..Kiulaini...
MATOKEO:
Jumamosi Machi 1
Everton 1 v West Ham 0
Fulham 1 v Chelsea 3
Hull 1 v Newcastle 4
Stoke 1 v Arsenal 0
Southampton 0 v Liverpool 3

No comments:
Post a Comment