Sunday, June 8, 2014

KIKOSI KIZIMA CHA WACHEZAJI WA ENGLAND CHATUA RIO BRAZIL, TAYARI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA!

England team arrive RioMENEJA wa England Roy Hodgson amekiri kuwa imehuzunisha kwao kutoka Sare na Honduraslakini amesema Watu wasisome sana matokeo hayo wakati wao Wiki ijayo wanaanza Kampeni yao ya Kombe la Dunia huko Manaus, Brazil kwa kucheza na Italy.
Jana, England walipata wakati mgumu Uwanjani Miami, Marekani kutokana na Joto, Radi iliyosababisha Mechi isimame kwa Dakika 45 na makwanja ya Wachezaji wa Honduras waliokaza Buti kikweli kweli.
England team arrive Rio
Mechi hiyo iliisha 0-0 na hiyo ni Sare ya Pili mfululizo kwa England ambao walitoka 2-2 na Ecuador hapo Jumatano huko huko Miami, Florida Nchini Marekani.
England's national soccer team players Frank Lampard and Wayne Rooney walk down the stairs as the team arrives at the airport ahead of the 2014 World Cup in Rio de Janeiro June 8, 2014.Rooney England's national soccer team goalkeeper Joe Hart (C) is seen among other players as the team arrives at the airport ahead of the 2014 World Cup in Rio de Janeiro 
June 8, 2014.Wachezaji wa England wakitua leo kwenye ardhi ya nchi ya Brazil tayari kwa Fainali za Kombe la Dunia
England team arrive Rio
Hodgson amesema: “Ilikatisha tamaa. Ilikuwa ni Mashambulizi dhidi ya Difensi hasa Kipindi cha Pili. Ilihuzunisha kutoshinda lakini habari njema hatukupata Majeruhi na sasa tumepata Wiki 3 za matayarisho na tunakwenda Brazil tukiwa na furaha!”
The England manager, Roy Hodgson arrives into Rio de Janeiro Galeao International Airport on June 8, 2014 in Rio de Janeiro, Brazil.Kocha Roy HodgsonDaniel  Sturridge na Danny WelbeckEngland team arrive RioUlinzi tosha eneo hilo England team arrive RioUlinzi umeboreshwa vya kutosha Nchini BrazilEngland team arrive RioUlinzi kila konaEngland team arrive RioBasi walilopanda wachezaji wa England kutoka kituoni hapoEngland team arrive RioWanacheshi wakiwa kazini...swala zima ni ulinzi na UsalamaEngland team arrive Rio

No comments:

Post a Comment