Luke Shaw akionesha kiwangoKocha wa England Roy Hodgson siyo kwamba kasimama tuu anawasoma wachezaji wake ni yupi atamtumia baadae kwenye kombe la Dunia mwezi huu Kocha wa England Roy HodgsonPisha njia....Wayne Rooney (kushoto) akinyemelewa na mchezaji wa Ecuador Ni Jack Wilshere na mchezaji wa Ecuador Joao Rojas wakiminyana kuutafuta mpiraKipindi cha pili dakika ya 51 Lambert alifunga bao la pili.
Ecuador ndio walitangulia kupata bao la mapema dakika ya 8 kupitia kwa Enner Valencia kisha England wakasawazishiwa na Staa anayekipiga kwenye klabu ya Manchester United Wayne Rooney katika dakika ya 29.
Raheem Steling alimwingilia vibaya Antonio Valencia, ndicho kilichompandisha hasira Antonio
We dogo mie ni Kaka yako!!! Tulia huko unataka kunipa vidonda!!! Valencia akimminya dogo!
Wote nje!!! wewe umefanya rafu mbaya!!!
Dakika ya 51 Lambert aliwapa bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Ecuador, Dakika ya 70 Arroyo aliwasawazishia bao baada ya dakika chache kuingia uwanjani kipindi cha pili akisawazisha bao hilo la pili akiachia shuti kali la umbali wa yadi 25.
Habari mbaya kwenye mtanange wachezaji wawili wanaocheza ligi kuu England Antonio Valencia na Sterling wametolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kufanyiana ndivyo sivyo na mwamuzi kuwatoa nje wote wawili katika kipindi cha pili.
Wayne Rooney akishangilia bao lake Alex Oxlade-Chamberlain nje baada ya kuumia
VIKOSI
Ecuador: Banguera, Paredes, Guagua, Erazo, Walter Ayovi, Antonio Valencia, Noboa (Mendez 50), Montero, Enner Valencia, Gruezo, Caicedo (Rojas 46).
Subs: Bone, Ibarra, Castillo, Arroyo, Jaime Ayovi, Bagui, Saritama, Martinez, Achilier, Dominguez.
Goal: E. Valencia 8, Arroyo 70.
England: Foster, Milner, Smalling, Jones, Shaw, Wilshere, Lampard, Oxlade-Chamberlain (Flanagan 63), Barkley, Rooney (Sterling 64), Lambert.
Subs: Forster, Welbeck, Henderson, Lallana, Stones.
Goals: Rooney 29, Lambert 51.Mashabiki wa England wakitokelezea na Tangazo lao mkononiMashabiki wa England kushoto jamaa ni shabiki mkubwa wa United na England, akiwa kapigilia Uzi wa United.Taswira ya njeMashabiki wote hawa ni England tupu...damu damu!!!

No comments:
Post a Comment