BUKOBA SPORTS

Sunday, December 14, 2014

CHRISTIAN BELLA NA MALAIKA BAND KUFUNGA MWAKA BUKOBA.


Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama na Kundi zima la Malaika Band watatoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Lina's Night Club siku ya Ijumaa tarehe 26, Dec 2014 Kuanzia saa 8 Usiku hadi majogoo.

No comments:

Post a Comment