FID Q AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA VIJANA KUSHIRIKI MCHAKATO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA TAIFA LETU.
Msanii wa miondoko ya Hip Hop Fareed Kubanda (katikati) akiongea na waandishi wa Habari kuhusu kuhamasisha vijana kushiriki katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa taifa letu. Kulia ni Hamis Taletale na kushoto ni Said Fela
No comments:
Post a Comment