BUKOBA SPORTS

Sunday, December 7, 2014

ASTON VILLA 2 - 1 LEICESTER CITY


Aston Villa walitoka nyuma ya bao 1-0 na kuwapiga bao 2-1 Leicester City waliomaliza Mchezo huu wakiwa pungufu 10, Bao la Leicester City lilifungwa na Leonardo Ulloa dakika ya 13 kipindi cha kwanza na bao za Aston Villa zilifungwa na Ciaran Clark dakika ya 17 na bao la ushindi lilifungwa na Alan Hutton kipindi cha pili dakika ya 71 na kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Leicester City.

No comments:

Post a Comment