Ni mapema muno Stoke walionesha nia ya kuifunga Arsenal, pale Peter Crouch alipoanza kuliona lango Timu ya Arsenal dakika ya 1.
BAO kutoka kwa Peter Crouch dakika ya 1, Bojan Krkic dakika ya 35 na la tatu likifungwa na Jonathan Walters dakika ya 45 zimewapa Ushindi wakiwa kwenye Uwanja wao BRITANNIA STADIUM.
Dakika ya 72 alioneshwa kadi ya njano ya pili na kuondoshwa kwa kadi nyekundu.
Arsenal walitoka nyuma ya bao 3-0 za kipindi cha kwanza na kuanza kurudisha bao hizo na Dakika ya 68 Santi Cazorla alianza kurudisha bao kwa kufunga penati na kufanya 3-1 na baadae dakika ya 70 Aaron Ramsey alifunga bao la pili na kufanya 3-2.
Stoke walishamuumiza Arsenal 3-0.
No comments:
Post a Comment