Christian Eriksen aliwapa bao la ushindi Spurs dakika za majeruhi dakika 89 kwa kufanya 2-1 dhidi ya Swansea City waliocheza soka safi hasa kipindi cha pili.Bony Dakika y 47 kipindi cha pili aliisawazishia bao Swansea City kwa kufanya 1-1Swansea City hoi!!!1-0, Kane akiwapiga bao la kichwa Swansea City Kane awafungulia lango Spurs
No comments:
Post a Comment