REAL MADRID 3 vs 0 CELTA DE VIGO, CRISTIANO RONALDO AWEKA HISTORIA TENA!! APIGA HAT-TRICK YA 23 LA LIGA!
HAT-TRICK ya Cristiano Ronaldo imewapa ushindi Real kwenye Uwanja wao wa nyumbani Estadio Santiago Bernabéu, Madrid wakiongozwa na Mwanmuzi Alberto Undiano Mallenco na mbele ya Mashabiki 80300.
Bao za Cristiano Ronaldo zilifungwa kipindi cha kwa kwanza moja dakika ya 36 na bao mbili kipindi cha pili dakika ya 65 na 81.
No comments:
Post a Comment