BUKOBA SPORTS

Friday, May 1, 2015

JURGEN KLOPP NJIA NYEUPEE ENGLAND...KUTUA LIVERPOOL!

Jurgen Klopp njia nyeupe LiverpoolItakuwa ni Vigumu kwa kocha wa Burussia Dortmund kukataa Ofa kutoka Liverpoo, Kocha Huyo mwenye miaka 47 ataondoka katika Klabu yake ya sasa na kuna habari kuwa atachukuliwa na Liverpool. Watu wa karibu na Kocha huyo wameanza kudai kuwa Kocha huyo atafurahia kutua England.Sasa ni Jurgen Klopp au Brendan Rodgers

No comments:

Post a Comment