BUKOBA SPORTS

Saturday, May 2, 2015

SHOKA KUMBAKISHA BRENDAN RODGERS LIVERPOOL?? MASHABIKI WAANDAMANA, WAMTAKA KLOPP AU KURUDISHA BENITEZ!

Washabiki wa Liverpool wameibuka na kutaka Meneja wao Brendan Rodgers afukuzwe.
Liverpool wameshinda Mechi 2 tu kati ya 7 zilizopita na kuwaacha Nafasi ya 5 kwenye Ligi ambayo ni nje ya kucheza UEFA CHAMPIONS LIGI Msimu ujao na pia walitupwa nje kwenye FA CUP baada ya kutolewa na Aston Villa katika Nusu Fainali.
Klopp na BrendanRafael Benitez wenda akarudi Anfield.

No comments:

Post a Comment