Lakini kabla ya hatua hiyo angependa kupewa fursa ili kumthibitishia kocha Jose Mourinho, meneja ambaye alimuuza kwa madai kwamba alikuwa mchezaji wa ziada katika kikosi cha Chelsea.
Mshambuliaji huyo alikuwa akijibu maswali kuhusu ni kocha gani angependa kumchezea.
Akizungumza na gazeti la Le Vif nchini Ubelgiji, Romelu Lukaku:''Mourinho ni wa kwanza,{Pep} Guardiola halafu Wenger''.
No comments:
Post a Comment