LA LIGA: REAL MADRID 6 v 0 ESPANYOL, RONALDO APIGA HAT-TRICK!
Real Madrid bao zimefungwa na Karim Benzema dakika ya 7 Cristiano Ronaldo dakika ya 12 kapachika bao kwa mkwaju wa penati. James Rodríguez kafunga bao dakika ya 16 Espanyol bado hawajapata kitu...
No comments:
Post a Comment