Makundi Manne yenye Timu 4 kila moja yamepangwa na Mabingwa Watetezi Chile wapo Kundi D pamoja na Argentina, Panama na Bolivia.
Michuano hii itachezwa kwenye Viwanja 10 vinavyopakia Washabiki
zaidi ya 50,000 kila kimoja ambavyo ni Santa Clara, Seattle, Pasadena,
Glendale, Houston, Chicago, Philadelphia, East Rutherford, Foxborough na
Orlando.
Wenyeji USA, ambao wapo Kundi A, watafungua dimba hapo Juni 3 kwa kucheza na Colombia huko Santa Clara, California.
Fainali itachezwa Juni 26 ndani ya MetLife Stadium, East Rutherford.
KUNDI A
USA, Colombia, Costa Rica, Paraguay
KUNDI B
Brazil, Ecuador, Haiti, Peru
KUNDI C
Mexico, Uruguay, Jamaica, Venezuela
KUNDI D
Argentina, Chile, Panama, Bolivia
No comments:
Post a Comment