Ushindi wa Leicester wa 3-1 katika kilabu ya Manchester City unawaacha wakiwa pointi tano juu ya jedwali hilo huku ikiwa thuluthi mbili za msimu huo zimekamilika.
Iwapo Leicester ambao walikuwa chini ya jedwali la ligi hiyo mwaka mmoja uliopita watashinda taji hilo la ligi, inaaminika kuwa hiyo itakuwa zawadi kubwa kuwahi kutolewa katika historia ya michezo.
No comments:
Post a Comment