Mashabiki: 44179
Liverpool wanaongoza kwa bao 1-0, Bao lililofungwa kipindi cha pili na
Roberto Firmino dakika ya 59'
Sunderland bbao zake za kusawazisha zimefungwa na Adam Johnson dakika ya 82 na bao jingine limefungwa na Jermain Defoe dakika za majeruhi dakika ya 89'
No comments:
Post a Comment