
2-0

Jamie Vardy tena dakika ya 72 alipachika tena bao na kufanya 2-0 dhidi ya Majogoo wa Anfield.

Vardy akiachia shuti na kuzama moja kwa moja langoni


Vardy akipongezwa baada ya kuipatia bao la pili Leicester City
Jamie Vardy dakika ya 60 anaitungua Liverpool na kuwaamusha Mashabiki kwenye Viti kwa bao lake Matata na kuipa bao la kwanza Leicester City (1-0) dhidi ya Liverpool.

Kipute kikiendelea...

Baadhi ya Wachezaji wa Liverpool wakiteta jambo...baada ya Vardy kuwaonesha kile ambacho na wao walikihitaji

Shinji Okazaki akimcheki kipa wa Liverpool Simon Mignolet




Leicester wako tayari kupambana kufa na kupona ili waweze kujibakisha Kileleni usiku huu...
VIKOSI:
Leicester: Schmeichel, Simpson, Morgan, Huth, Fuchs, Mahrez, Kante, Drinkwater, Albrighton, Okazaki, Vardy.
Akiba: King, Gray, Ulloa, Dyer, Wasilewski, Chilwell, Schwarzer.
Liverpool: Mignolet, Clyne, Lovren, Sakho, Moreno, Henderson, Lucas, Can, Milner, Firmino, Lallana.
Akiba: Toure, Benteke, Allen, Ibe, Flanagan, Ward, Teixeira.
Refa: Andre Marriner
No comments:
Post a Comment