
Mashabiki waliondoka Uwanjani dakika ya 77 kama walivyokuwa wamepanga.
Afield, Liverpool, wakicheza bila ya Meneja wao Jurgen Klopp ambae ni mgonjwa, waliongoza 2-0 kwa Bao za Dakika za 59 na 70 za Roberto Firmino na Adam Lallana lakini Sunderland wakaja juu na kupiga Bao 2 Dakika za 82 na 89 kupitia Adam Johnson na Jermain Defoe.
Roberto Firmino wa Liverpool alifunga bao nae hapa!

Firmino

Firmino akishangilia mbele ya Mashabiki

Adam Lallana akifanya yake leo hii

Firmino na Lallana wakipongezana baada ya kufanya 2-0 dhidi ya Sunderland

Mlinda lango Simon Mignolet akidhibiti mpira langoni mwake
No comments:
Post a Comment