Belgium walitangulia kufunga katika Dakika ya 13 kwa Shuti kali la Radja Nainggolan la Mita 30.
Wales walisawazisha Dakika ya 30 baada ya Kona ya Ramsey kuunganishwa kwa Kichwa na Ashley Williams.
Bao hizo zilidumu hadi Mapumziko.
Wales waliongoza 3-1 katika Dakika ya 85 kufuatia Krosi ya Gunter kuunganishwa kwa Kichwa na Sam Vokes alieingizwa Kipindi cha Pili kumbadili Robson-Kanu.
Wales sasa watacheza na Portugal kwenye Nusu Fainali ambayo itachezwa Jumatano Julai 6 huko Stade de Lyon Mjini Lyon Nchini France.
No comments:
Post a Comment