Manchester United walizinduka kipindi cha pili na kuwachapa bao mbili kuptia kwa Ander Herrera dakika ya (68') na lile la Marcus Rashford dakika ya (75'). Bao la kwanza lilifungwa na Michael Carrick dakika ya (17') na mtanange kumalizika kwa bao 3-1.
No comments:
Post a Comment