Mwenyekiti wa CHAWASAPI unatakiwa kusaini hapaBaada ya viongozi kukabidhi msaada wa saruji tani hamsini kwa viongozi wa Mkoa wa Kagera
Kazi inaendelea
Kushiriki kazi za ujenzi wa sekondari ya Ihungo iliyobomolewa kabisa ili kupisha ujenzi mpya baada ya kuharibiwa na tetemeko
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wa spea za pikipiki nchini(CHAWASAPI)Martin Mbwana kulia akikabidhimsaada wa tani hamsini za saruji kuunga mkono Serikali kurudisha miundombinu baada ya tetemeko la ardhi Mkoani Kagera.
Mwenyekiti wa CHAWASAPI Martin Mbwana na Katibu wake Award Mpandila baada ya kukabidhi msaada wa kuunga mkono Serikali maafa ya tetemeko Kagera
Pozi la picha ya pamoja baada ya Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera Deodatus Kinawilo kupokea msaada wa tani hamsini kutoka kwa wafanyabiasharaKazi ianendelea...
Viongozi wa CHAWASAPI wakikagua nyumba iliyoathiriwa na tetemeko la ardhi karibu na Ihungo Sekondari

No comments:
Post a Comment