BUKOBA SPORTS
Tuesday, January 17, 2017
AFCON 2017: UGANDA WAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA GHANA.
Bao hilo la pekee lilifungwa na dakika ya 30 kwa mkwaju wa penati na André Ayew hivyo kuwafanya Ghana kumaliza dakika 90 wakiwa Kidedea kwa bao 1-0 dhidi ya Uganda.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment