Wafungaji ni Amadi Manzi wa African Lyon bao la kujifunga dakika ya 3 kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili dakika ya 47 Ally Nassoro Ufudu alifunga na kufanya Kagera kuongoza bao 2-0 na Dakika ya 63 Abdallah Mugui aliwafungia bao la kufutia machozi African Lyon na mtanange kumalizika kwa bao 2-1. Picha zote na Faustine Ruta
No comments:
Post a Comment