BUKOBA SPORTS

Tuesday, May 30, 2017

LAHM APATA TUZO YA HESHIMA BAYERN MUNICH, ACHANGANYIKIWA KWA FURAHA

Siku chache baada ya kustaafu, beki na nahodha wa Bayern Munich, Philipp Lahm amepata tuzo ya heshima.
Tuzo hiyo maarufu kama Hall of Fame ni jambo kubwa la heshima kwa wachezaji. Lahm alionekana kuchanganyikiwa kwa furaha wakati akikabidhiwa.
Lahm amepata tuzo hiyo baada ya kuichezea Bayern tokea 2002 hadi 2017 kwa mafanikio makubwa.

WALIOBEBA TUZO YA HESHIMA:
Konrad Heidkamp (1928-1944)
Franz Beckenbauer (1963-1977)
Franz Roth (1966–1978)
Gerd Muller (1964-1979)
Uli Hoeness (1970-1979)
Sepp Maier (1962-1980)
Hans-Georg Scwarzenbeck (1966-1981)
Paul Breitner (1970-1974, 1978-1983)
Karl-Heinz Rummenigge (1974-1984)


Klaus Augenthaler (1976-1991)
Lothar Matthaus (1984-1988, 1992-2000)
Gievane Elber (1997-2003)
Stefan Effenberg (1990-1992, 1998-2002)
Bixente Lizarazu (1997-2004, 2005-2006)
Mehmet Scholl (1992-2007)
Oliver Kahn (1994-2008)

Philipp Lahm (2002-2017)




No comments:

Post a Comment